ELVIS 360 DESIGN A CUTE DRESS BY USING MANILA PAPER AND NEWS PAPER

Ni moja ya design zangu ambazo nimetumiya karatasi ya manila na kuipaka rangi ya maji na kuifanya iwe na mwonekano mzuri sana namshukuru my madame kwakunisaidia kutengeneza hii nilicho tengeneza hii nguo ilitengenezwa kwaajili ya kupigia picha tu
  PICHA BY DAUUPICHA
MODEL   IS   SARAH

Na kuna hii ingine tumetumia gazeti kuikamilisha ikiwa katika mwonekano wa kifashion kabisa na ikiwa imempendea model wetu hii nguo ilitengenezwa kwaajili ya kupigia picha tu
 PICHA BY DAUUPICHA
MODEL IS SARAH


EmoticonEmoticon