contact

CONTACT 

My email address is elvis360designer@gmaill.com -nitasoma maoni yako na kukubaliana pia

PR / ADVERTISING
Napenda kufanya kazi na wafanya biashara ili kusaidia kuzielezea bidhaa zao products and services! kama brand yako iko katika mwonekano wa kifashion or style beauty and music kwa mfanowa vitu ninavo vipost nigependa kushare na wewe bidha zako kwenye blog yetu.Kuwa huru kuni tupia Email Please direct your message to elvis360designer@gmaill.com kwama "tangazo" in the subject line and mimi nitakuwa na uwezo wa kuitangaza products and services zako kwenye media tofauti tofauti na kujadili fursa kwaajili yenu 

Currently taking on paid work only