KILIVYO NUKA KWENYE BIRTHDAY YA PRODUCER P 2016

Mimi kama team desekepi nakupa hongera, heri ya kuzaliwa bro. Ilikuwa ni siku powah sana kwa wana team desekepi team maji kwasababu yeye producer p ni mwenyekiti wa team maji so kwamwaka huu taree 14 mwezi may ilikuwani zam yake kupata maji yaku tosha na aliyapata kweli kweli alibadili nguo zaidi ya mara 5 kwa kila alie kuja alimchapa maji yakutosha


Hawa ni baazi ya watu walio baatika kula keki namaanisha hawa ni baazi ya watu ambao walikula keki na wengine walikula ila hawakupatanafasi ya kupiga pic ilikuwa ni mida ya saa mbili ucku watu wakaanza kulishwa keki na producer p na mimi mwenyewe jembe nikiwa kwenye picha

Sasa kwenye upande wa mitandao ya kijamii hasa facebook, facebook account ya producer p ilipata post matata sana za kusisimuwa za kumpa moyo ni zaidi ya Happy birthday kwake ila kwasababu post zilikuwa nyingi niliona niangalie post zipi zilikuwa zinaongoza kwa like nitataja majina ma tatu ya watu walio ongoza kwa likes nyingi kwenye post zao za kumtakia hezi ya sikukuuya kuzaliwa kwa bwana producer p

 Catherine Senyota  173 likes

Elvis ES Urio  167 likes

Abbas Rashid 155 likes


Hawa ndo walio tisha sana na wamekimbiza kwa like kwenye account produce p. Pia kuna zile pic ambazo zimetumika ku postiwa na watu ila nimeangalia ni picha gani itakuwa watu wengi wameitumia sana kuipost mimi naaita BEST PICTURE


Hii ndo best picture kwenye post zote ambazo watu wame post yani watu wengi walio mtakia bwana p heri ya kuzaliwa walitumia wengi mmoja wao ni mimi pia.










Contact Form

Name

Email *

Message *