ELVIS 360 PHOTO SHOOT DIRECTING AND STYLE

Mimi kama mimi ni mtu ninae penda kuona picha kali au nzuri kutoka kwangu so ninapo pata idea ya shoot ninaakikisha the shoot inaenda vile inavo takiwa kupata style na mwonekano mzuri kwenye picha fashion direct and styling ndo inanifanya niwe na fikra za kufikiria more idea za fashion photo shoot na kupata picha kali kutoka kwangu na photo shoot ya leo inaitwa BEAUTY IN DJANGO
PHOTO BY DGERPHOTOGRAPHER
PHOTO BY  DGERPHOTOGRAPHER
It's all about fashion.


EmoticonEmoticon