Katani dress designing by Elvis 360



It is best dress kutoka wa Elvis 360 ni moja yanguwo ambayo naipenda sana kwazia nilivo kuwa naiandaa na kuimaliza ni nguo ambayo itakwepo katika istoria yamaisha yangu mimi kama  Designer ubora na mwonekano mzuri wa hii nguwo na watu kuipenda sana ndo sababu yakunifanya niifanye hii nguo kuingia kwenye historia ya Elvis mimi kamadesingine ni mwendelezo mzuri sana wa kujijengea safari yangu ya ubunifu hapa nduniani  ni safari yakutengeneza nguo nyingi na nzuri zaidi katika maisha yangu mimi kama mbunifu niniae chipukia.


EmoticonEmoticon