RASTA MPYA KUTOKA KIDOTI LOVING


Ni mwonekano mpya wa kidoti na rasta zake mpya zikiwa kwenye mwonekano mzuri na zaku ng'aa ila nachoweza kusema hizi rasta zina pendeza sana ukisuka wakati wa event tofauti tofauti pia alipost kwenye Twitter yake akisema; Unanionaje rasta zetu mpya zikawa pia sehemu ya siku yako muhimu maishani? 👰🏾💍💕🌷 kiukweli zinapendezea sana kwenye harushi pia kama unavo ziona


it's so good 
zingine ni zaseemu nzuri ambazo unaweza sukia na ukapendeza kwa seemu ambayo utakwepo utakayo kwepo na watu ambao wanapenda kuwa na mwonekano kama huu



Like this it's so dope

And kunahizi ambazo kama mkisuka wale wadada ambao ni good friend wengine wanajiita 3sisters inawapendezea sana and mnaweza msisuke style moja ila kuna rangi mnaweza mka share



Thank you and hongera kidoti kazi nzuri


EmoticonEmoticon