FASHION TIPS

3 BLACK AND WHITE OUTFITS YA KUVAA WEEKEND HII

Hujui chakuvaa wiki hii? Black and white daima ni jibu. kuwa na mwonekano wako kama wewe si ngumu ila unatakiwa kuwa mbunifu na kuangalia ni nini ambacho hakijavaliwa au ni rangi gani haija valiwa pia utazipangiliaje hizo rangi na kukufanya uwe watofauti kwanza lazime ujuwa ukiwa unatoka utabeba nini na utavaaje iliuweze pangilia rangi zako vyema mfano; utavaa koti t shiart  na jins utabeba pochi ukishajuwa hivo utapangilia rangi ya kila kimoja utavaaje katika vyote lazima kimoja kitamzidi mwezie katika hizo rangi moja itamzidi mwezie mfano t shirt itakuwa rangi nyeupe vitu vingine vyote vitakuwa rangi nyeusi so tuna miyonekano mi 3 ya ku spend weekend hii ikiwa in style

1


2


3


















4 FLAT SHOES AMBAZO UNAWEZA KUVAA KWENYE HUU MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN
Kikawaida tunajua kwamba kwenye mwezi huu siyo vizuri kuvaa kiatu virefu haswa pale unapo karibiswa ftari na jirani yako haipendezi kwenda na viatu virefu haipendezi  inapendeza kwenda ukiwa umevaa flat shoe lakini siyo kwamba ukivaa flat shoe ndo utaonekana uko kawaida au ujapendeza NO utapendeza kwa hizi ainaninazo kwonyesha hapa leo zikiwa na majina yake ambazo unaweza kuulizia dukani na ukapata.

Hii ni aina ya flat shoe inayo itwa Lace Up Flats ni flats nzuri ambazo ziko trend kwasasa na zinapendeza pia ukivaa kwenye mwezi huu wa ramazani haswa ukitaka kutoka.

Hii nayo niaina ya flat itwayo Action flat hizi zinapendezea ukienda nazo sokoni kununua ftari kutembelea seem ambazo unaweza kuingia na watu wasijali umevaa nini ila watastuka kwa mwonekano wako wa kisasa na wenye heshima.

Hiki kiatu ni kizuri sana ni aina ya flat iitwayo ballerinas flat hiki unaweza kuvaa pale umealikwa ftari seem na seem siyo kila seem haswa wale wanao andaa futari kwenye hotel fulani na wewe umekaribishwa hapo unaweza kuvaa aina hii ya flat shoe kwa mwonekano mzuri zaidi. 

Kinaitwa Potio Poise Flats hizi nimezipenda kuzionyesha kwasababu ya design yake kwanyuma ya kufunga mkanda mmoja na mbele ikiwa imechongeka kati ya flat zote nilizo onyesha ni kimoja tu ndo hakija chongeka ni kwasababu flat zaaina hiyo ndo ziko on fashion kwasasa ila hiki piya kinapendezea kuvaa ukiwa nyumbani ukiwa unajiandaa au unaandaa ftari.  














NJIA 5 ZA KUSTYLE HIJAB (ERYHAH KILEMBA) KWENYE RAMADHAN HII 2016

Ni ramadhan nyingine tena tunamshukuru mungu kwakuiona ramadhan ingine ndani ya mwaka huu 2016. Ila Elvis360 anakuletea style 5 za kufunga (Eryhah kilemba) kuna style tofauti tofauti za ku funga hiki kiremba cha mwezi  huu wa ramadhan na ningependa kutowa ushauri au ombi ingependeza kila mdada mmama msichana ambae ni mwislam au ambae anapenda kufunga kilemba huu ndo mda wenyewe na nauwakika ukifunga kilemba lazima utapendeza zaidi pamoja na kujistiri wewe kama mwana mke embu jifunze hizi apa. Kisha nitumie pic yako ambayo umejaribu kujifunga hizi style kwanjia ya email elvis360designer@gmail.com  au ni tag instagram @officialelvis360 au nitumie inbox ya fb Elvis ES urio kisha nitazipost hapa hapa kwenye blog yangu kuwaonyesha watu walio jaribu kujifunza.  
1

2

3

4

5














STYLE AND DRESS CODE

Dress code ni mpangilio wa mavazi ya sehemu maalum na yenye kuelezea sehemu ambayo upo au sehem ambayo unaelekea mfano; mavazi ya shule, ya michezo na ya usiku n.k

Watu wengi sku hizi wanabadilisha sana mwonekano wa mavazi hasa hapa nyumbani mfano vazila kuvaa usiku mtu anavaa mchana haipendezi kwasababu ata mtu wa kawaida atasema yulemdada kavaa nini? kwanini vazi la usiku hauwezi kuvaa mchana? asilimia kubwa ya nguo za usiku zina vitu vya kumeremeta katika nguo sasa ukiivaa hiyo nguo mchana na kuna jua vile vitu vya kumeremeta ambavyo viko kwenye nguo vinakuwa vinaakisi mwanga  hivyo mtu akikuangalia anakuwa anaona una meremeta sana na wengine kuumia macho 

So hii ni mifano ya nguo ambazo unaweza vaa na usio weza vaa kwa wakati fulani 

Hapa tuna ona mionekano ambayo siyo rasmi na ambayo ni rasmi

Hapo miezi ya nyuma kuliibuka style ya kuchana nguo baada ya kuona baazi ya mastar kuvaa style hiyo ila siyo mwonekano sahihi kwa mwana ume au mwanamke pia 

Ikiwa kwenye mwonekano unao jieleza 







3 LOOKS TO INSPIRE YOU TO WEAR 

MIDI SKIRT

Kuna Midi skirt zaaina mbili kuna ndefu na fupi ila leo nitaongelea fupi ambazo zinaweza valiwa na mwanamke waaina yoyote hasa wale wapendao kwenda na wakati kwa mwonekano wakisasa 

leo ningependa kukwonesha mfano wa mwonekao amba utakupendezesha wewe kama mwanamke unae penda kwenda na mwonekano wa kisasa hapa town  

LOOK .1 

Hii ni mfano wa style ambayo unapaswa kuanza kuvaa katika mwonekano wako wa miezi hii haijalishi unaenda wapi chamsiki midi skirt ni kwaajili ya wanawake wanao jijali na kujieshim pia 


LOOK .2

Ukiangalia huu mwonekano unaona wazi kabisa ni  aina gani ya wanawake wana pendezea kuvaa hii staili na kupendeza je utavaa ukienda  wapi ni wewe sasa kujuwa mwonekano huu ni wawapi hii inapendezea sana kuvaa kama mwonekano wa kazini kwenda seem maalum flani ambazo ninaweza kukufanya uwe na mshangao kwa watu ambao watakao kwepo hapo

LOOK .3

Sasa hapa tuanze kuongelea kuusu rangi rangi ni kitu cha muhimu katikakuvaa kwako your midi skirt tukiangalia rangi ya blue imependezea sana katika kumechisha your midi skirt pochi miwani na kiatu kinapaswa ziwe narangi tofauti ilikupata mwonekano mzuri zaidi na waku n'gaa zaidi kama mwana mke wakisasa 







ELECTRO BOHO - TRENDS S/S 17.

Zilizo pangwa kuwa on fashion or trends za 2017 ni nguo ambazo zinamchanganyiko wa rangi na art za kutosha kwenye kitambaa au ngozi kwakila art inamaana yake kwa design ya kisasa naya old au ya kiafrica 

Mfano hii ni art yenye utamaduni fulani kwenye nchi fulani ilakwaseem baazi za africa kama Tanzania,kenye,uganda,zambia na na congo hizi art ni ngeni kwa nchi hizo so kwetu tunaziona ni fashion na kuifanya iwe kwenye trend.
Huu ni mwonekano wa Beach the design ambazo zinatarajiwa kuwa trend mwaka 2017 mimi kama fashion designer its best design ku trend kwende mwakaunao fwata the colors pia ziko powah sana kwa mwonekano wa Beach.

CHINA BLUE hii art tayari imesha anza kuwa on fashion kabla ma fashion design kuikaribisha kwenye fashion trend ya 2017 hii art imeshaanza kuvaliwa na baazi ya watu wakubwa duniani na watu kuipenda mwonekano wake kwanzia color na art yenyewe kutoka china.
Wenyewe wanaiita FASHION VIGNETTE tukiisubiri kwenye mwaka 2017 na kuifanya iwe best trend kwa mwaka huwo na kuifanya kama old flan ivi 
wewe kama mpenda kwenda na wakati hupaswa kukosa kujuwa what is next. 
thank you. #elvis360 







NJIA 3 AMBAZO UNAWEZA VAA BANDANA 

Bandana ni kitambaa ambacho kinatumika sana naaina fulani ya watu hasa wana HIPHOP ilakwasasa ni kila mtu anapenda kukitumia na kumfanya mtu aonekane on swagg ila tumeshazoweya kuona kikifungwa mkononi au kichwani kwa maranyingi sana. Sasa tunakupa style ingine kwaajili ya mwonekano mzuri zaidi hapa town 

1. As A scarf

Unaweza vaa bandana shingoni ila ni jinsi gani unaweza kuifunga unaifunga maramoja na inatakiwa kuangalia mbele na utalook good.

2. Around Your Bag

3. As A Belt 






NJIYA TANO ZA KUBORESHA (UPDATE) DENIM MIDI SKIRT 

Denim midi skirt ni zaidi ya style zaidi ya kilakitu kwa sasa. Be inspired 

look 1

Mechisha sketi yako yenye rangi ya blue na shati yenye rangi ya blue mpauko ukiwa na pochi ya mkononi chini ukiwa na raba zenye chui chui magazeti kwa twist zisizo tarajiwa 


look 2
A leather biker jacket  ni sahihi kwa kumech na up skirt Accessorise backpack na sneakers for a casual cool look.

look 3

 A sporty bomber jacket inakupa ma kali ya ziada kwa skit shoes ongeza pair of heeled kufanya hii  day-to-night outfut.


look 4

Kufanya denim juu ya kazi denim kwaajili yenu kwakuchaguwa vinavyolingana vipande viwili au tofauti washers mbili tofauti za shoes 

look 5

Koti ni kuongeza effortless denim mini skirt kuongeza slouchy tan bag and pair of converse kwa uwianowa mwonekano



NI JINSI GANI WEWE KAMA MSICHANA UNAWEZA KUVAA NA KWONEKANA CUTE ZAIDI


Hii style inawahusu wadada wenye umbri kwanzia 15 -20 na kwendelea ila hiyo ndo umbri wa wasichana wanao penda kuonekana cute zaidi japokuwa wengine wenye umbri kwanzia 21 na kwendelea baazi hupenda kuwa na mwonekano kama huu sasa ni jinsi gani unaweza kupangilia ma vaziyako na kuwa na mwonekano wakuwa cute zaidi kuna mavazi kama jeans hasa zinazo shika mwili vizuri ziwe za rangi moja na rangi lazima zile rangi ambazo ziko ki sichana zaidi kama pink,nyeupe,rose quaetz hii  rangi ni moja ya rangi ya mwaka huu 2016 na hii rangi ya kisichana zaidi so nazani cute outfits zitakuwa in fashion kwa sasa kwasababu ya hii rangi pia tusisahau vivalio kama cheni ila zinatakiwa zicwe za chuma ila ziwe zimetengenezwa na kitamba na vitu ambavyo havina chuma chuma bila kusahau viatu vya chini visiwe virefu pia viwe vya wazi

Kama tunavo ona hasa ni rangi na design zake style zake top pia ikiwa zina usika huu ni mwonekano au ni mwonekano wa msimu wa spring iko ki schana zaidi bilaku saau raba ambazo ni ndogo au tunaziita flat ni zuri zaidi







How To Dress Your Body Type

Kufuatia mwenendo wa mtindo karibuni haimaanishi wewe umevaa nguo ambayo ni sawa. Unapaswa kuwa na uwezo wa kuchagua ni suti gani hufanya wewe kujisikie vizuri na kujiamini. mimi kama stylist tayari nimesha jianda kukusaidia mavazi yatakayo mkanda inaweza kukusaidia kuimarisha kiuno chako na mwili wako curves. Kuleta makini na neckline yako na mabega.

Hourglass Shape



-Kusisitiza kiuno chako,kuvaa nguo na mkanda inaweza kukusaidia kuimarisha kiuno chako pamoja na mwili wako curves Kuleta umakini na neckline yako na mabega.

-Kutumia vipande na flare, kama suruali pana mguu , lakini hiyo pia si dramatic, and pair them with a slim-body top juu ya usawa outfit nzima.




































Apple Or Fuller-Figured Shape


Ashley Graham for Plus is Equal Campaign


  -Kama una aina ya mwili kama huu lengo ni kupunguza midsection and emphasise your legs Kupata vipande ambazo zimefungwa na kulengwa kama sketi na suruali na wrap dress .

-Unapaswa kuepuka prints kubwa (go for monochrome ones) and statement details like a big belt   Dark and solid colors will serve you well, but don't be afraid of brights; jewel tones like a rich red and stone green are amazing.






















to day i gave you 2 dress body type next time we will continue 

thank you















4 Looks to Inspire You to Wear Jumpsuits


Labda umesha wahi kuvaa jumpsuit lakini huku penda ilivo kukaa hiyo inatokea hasa pale unapo taka kuvaa jumpsut na ucjuwe ni aina gani ya jumpsuits gani au ni yaaina gani itakupendeza leo Elvis 360 anaku inspire wewe kuvaa jumpsuit kwasababu inaweza ikawa ni best mwonekano kutoka kwako na watu kuwa inspire kutoka kwako jumpsuit ni vazi lenye mwonekano tofauti na likiwa kwenye design nyingi nyingi iwe mmama mdada wote wana jumpsut zao chamsingi ni kujitambuwa wewe ni mwanamke waaina gani kujuwa umbo lako ili kujuwa ni aina gani ya jumpsut itakayo kupendeza bila kusahau rangi

 

So jumpsuit ni vazi laishima ila inategemea na design kuna zingine ni mgongo wazi na kuna zingine za kawaida kavisa kiasi kwamba unaweza ukavaa na kwenda nayo maali popote jumpsuit nivazi ambalo lenye mwonekano mzuri na wakisasa kwasababu kila mwaka lazima ije na design mpya so sizani kama ni vazi ambalo unapaswa kukosa au kushindwa kulivaa.

Hapa inakwonesha ni jinsigani unavo weza ku style your jumpsuit kwakuongezea accessories pamoja na koti la aina yoyote pochi ya mkononi pamojana mkanda unaweza kuwa wa rangi tofauti ila kwaushauri rangi nyeusi na rangi ya udongo ndo zinapendezea 





The thing is jumpsut ikiwa kwenye design tofauti tofauti unaweza vaa mtaani pia na kuvanya uwe na mwonekano wa kitofauti zaidi hasa kwa wale watu ambao wana penda kuwa na mwonekana tofauti. 

for jumpsut to day tutaishia hapo just angalia ni mwonekano gani sahihi kwaajili ya mwili wako.








HOW TO STYLE HIGH WAIST JEANS
Ki bongo bongo wadada wengi wana penda kuvaa high waist jeans za aina tofauti tofauti ila leo tunakuletea idea ya jinsi gani unaweza ku style high waist jeans yako na kuwa katika mwonekano wa kijanja zaidi mzuri na wakupendeza kwanza unaweza ukavaa high waist yako pamoja na shati,t shirt, ila isiwe plain iwe na maandishi ilikupendezesha mwonekano wako na shati lako liwe lipana kidogo ili kuweka maumbo tofauti tofauti pale unapo chomekea shati na t shirt yako pia unaweza ukachomekea its good style ukichomekea 

So ukichomekea utakuwa na mwonekano kama huu ili kuonyesha vile high waist yako ilivo ku fit.

Bila kusahau top top pia inapendezea sana ukichomekea 

and crop top inapedeza sana if kama ukivalia na kakoti cha jeans 

na huu ndo mwonekano ukivaa shat njinsi inavo takiwa kuwa hilo ni shat ila kuna mashat mengine ambayo yanapatikana kiuraic au unaweza ku style shat lakiko ivo.

Na kunaaina hii ya jeans inaitwa high rise skinny jeans ni nzuri sana kwa  wale wanao penda kuonyesha body zao kwasababu hii jans inashika mwili vizurikama unavo ona.

Bila kusaau crop top off shoulder iko trend kwa sasa inapendeza nayo ukivalia na high rise skinny jeans yako.

Thank u.




















15 STYLE TIPS ON HOW TO WEAR RAIN BOOTS AND MAKE THEM LOOK CUTE
Wakati huu ni wakati wa nvuwa ila baazi ya wadada wana shindwa kutoka nje na kwendelea na kazi zao kwasababu ya viatu hii ni tatizo hasa pale wanapo taka kutoka ki bongo bongo wadada wengi wanashidwa kuvaa boots za nvuwa kwasababu anaona hakuna nguo atakayo vaa akiwa na hizo boots Elvis 360 Anakuletea mwonekano na mpangilio mzuri wa nguo ukiwan rain boots zako



































so ni wewe sasa kuchaguw






HOW TO STYLE YOUR JEANS MAN JEANS
Ni jinsi gani unaweza kupangilia jeans zako wewe kama mwanaume sasa nazani ni time ya kubadilika sizani kama ni wakati wa kuvaa jeans ambazo zimechanika chanika mpaka mapaja yanaonekana siyo fresh kwa mtoto wa kiume for real hizo tuwaachie dada zetu hii ni style ambayo inatoka kwangu mimi kama Elvis 360 kuna jinsi nyingi tu ambazo unawezakuvaa na ukapendeza kama kuna jinsi zinaitwa Embellish biker jeans ambazo ni style inayo trend kwa sasa 


Embellish biker jeans




the thing is it's best design for men











.

Huu ndo mwonekano wa sasa ambao unaweza uka vaa ukapendeza ki swagg zaidi








YEMI ALADE  NATURAL HAIR STYLE IT'S ON TREND
 Style ya nywele ya Yemi alade imeanza kushika kasi na wadada wengi kuipenda na kuaza kupendezesha nywele zao kuwa natural hair na kuiga style yake kabisa hivo natural hair kwa sasa imekuwa on fashion hasa Africa. Watu wengi  Africa wanapenda kuwa natural hasa kwenye nywele ila tunaangalia nani alie inspire watu kuwa on fashion kwa mimi naona Yemi alade ndo ame inspire watu sana kuwa  natural hair.

the look,natural hair, zinamfanya azidi kuwa #mamaafrica

and wasichana wengi wana penda kuwa natural  kama Yemi alade

The thing is the style is so unique

na hii style inanikumbusha miaka ya 19... it's very cool

I LOVE U YEMI







HOW TO STYLE YOUR OUTFIT FOR UNIVERSITY
Kila mschana ambae yuko chuo au ambae ndo anaanza chuo huwa wanaumiza sana kichwa kwa kufikiria ni nini chakuvaa akiwa chuo. stylist Elvis 360 leo anakupa tips za kuvaa ukiwa chuo.


So kuna style tofauti tofauti za mavazi ukiwa chuo ila nitatowa style za mwonekano wa mavazi kwa mwonekano wa mtu vile anavo weza ku pendeza akiwa katika mwonekano flani mfano mwonekano huu ambao umepangiliwa kwazia juu mpaka chini ukiuangalia huu mpangilio unaweza ukajiona kama ww ni mtu wa mavazi yaaina gani ila hii ni mionekano ya waschana flani ivi watulivu wacyo na papara na wapole wenye kujieshim. 





Na huu ni mwonekano mwingine kwa wana chuo ambao wanapenda kutoka kivyao na kuto kufanana na mtu mwingine akiwa chuo na huu ni mwonekano mwingine ambao unavo onekana umewekwa kilakitu ambacho kinaendananamwonekano huu hii ni style ya waschsns ambao wana penda kuvaa kawaida ila wakiwa kwenye style flani nzuri na yakupendeza na yakitofauti chamsingi ili ujijuwe unapendeza kuvaa aina gani yamavazi ni kukijuwa wewe kwanza mwiliwako ni waaina gani unapenda kuvaa nini nakisha vaa unacho kiona ni sawa lakini akikisha ni kitu kiko on fashion kwasababu najuwa unapenda kutoka kifashioni zaidi ukifanya ivo unakuwa ni mmoja ya watu wanao pendeza sana chuoni kwenu Asante.



SPRING FASHION TREND 2016 WOMAN FASHION
Ni mwonekanomwingine wa kisasa na waaina yake ni skate zaaina tofauti tofauti ila kinacho fanya hizi skate kuwa kwenye fashion ni hizi print za mauwa zinavo onekana ni skate nzuri ambazo unaweza vaa maali popote na anaweza vaa mtu wa rika lolote



Na huu ni mwonekano mwingine mzuri ni aina za top ziitwazo off shoulder ni to nzuri kwa sasa ziko trend na zina pendeza sana ukivaliya hi hii skate ambayo iko trend sasa ivi pia top hii inapendeza sana if kama ukinunuwa yenye rangi moja ndo inapendeza sana








SPRING FASHION TREND 2016 MEN'S FASHION
Nimwonekano mpya katika msimu huu mwingine katika kipindi hiki cha nvuwa  na juwa kwa mbali sasa huu ndo wonekano unao takiwa kuonekana kwasasa kwa msimu huu na kuwa fashionable… kama unavo niona nikiwa katika mwonekano huu hii ni kaush ndefu unaweza ukavalia na t shert au sweta kama unavo ona nilivo toka ni mwonekano mpya kabisa na waki sasa hapa town 
picture by dger 
  kuna baazi ya mastaa ambao wamesha anza kuva hii style kama diamond platnum na rymond akiwa ametumia hivi katika video yake hii mpia kama unavo mwona


EmoticonEmoticon