FASHION NEWS

PICHA 7 ZA MASTAR WALIYO TOKELEZEA KWENYE RAMADHANI HII 2016

Tukianza na msanii diamond platnumz alipost picha yake insta 

akisema 

Ramadhan Kareem my people....


Time ya raymond nae alitokelezea hivii baada yakupost hii picha kwenye account yake ya insta 


Bosslay katika uborawake kwenye ramadhan hii akiipost hii picha kwenye insta yake akisema  FBF juma kareem#LeFamilia ðŸ‘ª

Phd kwenye mwonekano fresh kwenye ramadhan hii 

Ramadhan Kareem and Saum Maqbool maneno ya mwanafa kwenye account yake ya insta



AY aliipost hii pichakwenye insta yake akisema 

Swaumu ya ngapi leo?kila la kheri kwa zilizobakia #Inshaalah>>Nikiwa na Sheikh wa kukodisha mwenye uzoefu mkubwa wa kuonja futari,anakaribisha mialiko ya kila rangi in sha Allah


Jux alipost hii picha kwenye account yake ya insta akisema 

jumaa Kareem #ramadan












vogue japan wame shoot editorial may in kenya wakitumia accessory za kimasai

Kwaiyo vogue japani nao wameingia kwenye list ya insternational fashion campains kufanyia photo shoot yao in kenya

Wametumia mashuka ya kimasai,necklaces and head pieces pia za kimasai na shoot imefanyikia mbugani

 








Model Renata Zandonadi
  styled by Giovanna Battaglia a
the photography was by Erik Torstensson



Chanel Is Making Nail Polish Art And It's Unbelievably Cool 


Leave it to Chanel to give us all the art and makeup inspo we need. The iconic brand is literally making nail polish art, and it is the coolest, most beautiful thing you’ll see all week. If you follow Chanel on Instagram, you probably know what we are talking about — those amazing photos that show popular works of art recreated by using the brand’s bold nail polish shades.We did some research, and it turns out that the images are part of the Art is a Color tribute exhibition in Dubai. The brand’s beauty artisans have reimagined nine famous artworks using only Chanel products (nail polish, lipstick, and eyeliner) and the results are mesmerizing. If you happen to be in Dubai this month, go check them out in person. If not, well, Instagram will have to do;

Watch: Chanel's Top 5 Classic Nail Polish Colors in Action



Art does come in many forms.

A Selena Gomez Autobiographical Drama Is in the Works


Big news for Selenators: The star is executive producing a new drama inspired by her life experiences. Kevin Spacey has also signed on to produce the Lifetime movie. [Deadline]
Here are more must-click links to visit during your lunch break:
1. If you’re anxiously awaiting Game of Throness Season 6 premiere, this site's algorithm might be able to give you some spoilers about the new season, including which characters are likely to die next. [Time]
2. Denzel Washington and Chris Pratt come out with guns blazing in the first trailer for The Magnificent Seven, out this fall. [USA Today]
3. Dwayne "The Rock" Johnson’s first commercial for Under Armour is here, and it will inspire you to get up and get moving. [Footwear News]
4. Is it autumn yet? General Mills just announced the launch of new Pumpkin Spice Cheerios this fall, and we can’t wait to get our hands on a box. [Time]
5. Unbreakable Kimmy Schmidt star Ellie Kemper’spregnancy is giving Tina Fey extra time away from the Netflix show to work on the Mean Girls musical this summer. [Entertainment Weekly]













JUX WITH AFRICAN BOY BOOST,SNAPBACK AND AFRICAN BOY CUP
Ni mda sasa tangu Juma jux kutowa t shirt zake pamoja na snap back za african boy sasa amekuja na boost zenye logo yake kiukweli hizi boost zimetulia sana sema tusubiri nyimbo yake mpya.

AFRICAN BOY BOOST

Kuna vitu vingi ambavyo vina logo ya jux kama cover za sim folonya za mito pamoja na african boy cup.


and hii t shit ni nzuri sana kwa wadada kwasababu ya rangi iliyo tumika it's 
color of the year 2016


ila dada yetu nae ajasahaulika

vanessa mdee





STUNNING WEDDING DRESSES FROM BRIDAL FASHION WEEK

Huko katika spring 2017 bridal fashion week madesigner kama  Elie Saab, Theia, Marchesa na wengine walionesha designs tofauti za bridal collections zao. Bridal collections hizi ni couture za hali ya juu zingine zina veils ambazo zimetengenezwa kwa swarovski crystals, na zingine zina floral embroidery na silhouettes.























Lupita Nyong’o katokelezea ndani ya Dolce and Gabanna Hem Dress
Mwonekano mkali sana kutoka kwa Lupita Nyongo were ali make an appearance kwenye show ya Good Morning America akienda ku promote movie yake mpya ya The Jungle Book.
She wore hii striped hem dress toka kwa madesigner wawili Dolce and Gabanna
she matched her earrings with her blue pumps and had a patent black head band






Hongera Nyingi Kwa Mwamvita Makamba Kwa Kupata Award From Enterprise Conference awards

So Mwamvita ameshine kwa kupata  awards on Enterprise Conference Galla Dinner ,akipata award ya her efforts za maendeleo anazofanya barani kwetu  Africa #Godwin #hardworking.

Awards hizi zilifanyika huko South Africa .mwamy
Aliweka caption hii kweye insta page yake akiandika
I am extremely humbled to have won an award last night at the Enterprise Conference awards Galla dinner for the efforts in Africa. It wasn’t expected and I am so so grateful for this recognition. I dedicate this to all the delayed flights and the hustle traveling in this continent. 😅 A gift that comes with this award is a week in Marrakech- Morocco! How awesome! So grateful


EmoticonEmoticon