vogue japan wame shoot editorial may in kenya wakitumia accessory za kimasai

Kwaiyo vogue japani nao wameingia kwenye list ya insternational fashion campains kufanyia photo shoot yao in kenya

Wametumia mashuka ya kimasai,necklaces and head pieces pia za kimasai na shoot imefanyikia mbugani

 








Model Renata Zandonadi
  styled by Giovanna Battaglia a
the photography was by Erik Torstensson


EmoticonEmoticon