JUX WITH AFRICAN BOY BOOST,SNAPBACK AND AFRICAN BOY CUP

Ni mda sasa tangu Juma jux kutowa t shirt zake pamoja na snap back za african boy sasa amekuja na boost zenye logo yake kiukweli hizi boost zimetulia sana sema tusubiri nyimbo yake mpya.

AFRICAN BOY BOOST

Kuna vitu vingi ambavyo vina logo ya jux kama cover za sim folonya za mito pamoja na african boy cup.


and hii t shit ni nzuri sana kwa wadada kwasababu ya rangi iliyo tumika it's 
color of the year 2016


ila dada yetu nae ajasahaulika

vanessa mdee


EmoticonEmoticon