PICHA 7 ZA MASTAR WALIYO TOKELEZEA KWENYE RAMADHANI HII 2016

Tukianza na msanii diamond platnumz alipost picha yake insta 

akisema 

Ramadhan Kareem my people....


Time ya raymond nae alitokelezea hivii baada yakupost hii picha kwenye account yake ya insta 


Bosslay katika uborawake kwenye ramadhan hii akiipost hii picha kwenye insta yake akisema  FBF juma kareem#LeFamilia đź‘Ş

Phd kwenye mwonekano fresh kwenye ramadhan hii 

Ramadhan Kareem and Saum Maqbool maneno ya mwanafa kwenye account yake ya insta



AY aliipost hii pichakwenye insta yake akisema 

Swaumu ya ngapi leo?kila la kheri kwa zilizobakia #Inshaalah>>Nikiwa na Sheikh wa kukodisha mwenye uzoefu mkubwa wa kuonja futari,anakaribisha mialiko ya kila rangi in sha Allah


Jux alipost hii picha kwenye account yake ya insta akisema 

jumaa Kareem #ramadan



EmoticonEmoticon