NI JINSI GANI WEWE KAMA MSICHANA UNAWEZA KUVAA NA KWONEKANA CUTE ZAIDI


Hii style inawahusu wadada wenye umbri kwanzia 15 -20 na kwendelea ila hiyo ndo umbri wa wasichana wanao penda kuonekana cute zaidi japokuwa wengine wenye umbri kwanzia 21 na kwendelea baazi hupenda kuwa na mwonekano kama huu sasa ni jinsi gani unaweza kupangilia ma vaziyako na kuwa na mwonekano wakuwa cute zaidi kuna mavazi kama jeans hasa zinazo shika mwili vizuri ziwe za rangi moja na rangi lazima zile rangi ambazo ziko ki sichana zaidi kama pink,nyeupe,rose quaetz hii  rangi ni moja ya rangi ya mwaka huu 2016 na hii rangi ya kisichana zaidi so nazani cute outfits zitakuwa in fashion kwa sasa kwasababu ya hii rangi pia tusisahau vivalio kama cheni ila zinatakiwa zicwe za chuma ila ziwe zimetengenezwa na kitamba na vitu ambavyo havina chuma chuma bila kusahau viatu vya chini visiwe virefu pia viwe vya wazi

Kama tunavo ona hasa ni rangi na design zake style zake top pia ikiwa zina usika huu ni mwonekano au ni mwonekano wa msimu wa spring iko ki schana zaidi bilaku saau raba ambazo ni ndogo au tunaziita flat ni zuri zaidi





EmoticonEmoticon