Hujui
chakuvaa wiki hii? Black and white daima ni jibu. kuwa na mwonekano
wako kama wewe si ngumu ila unatakiwa kuwa mbunifu na kuangalia ni nini
ambacho hakijavaliwa au ni rangi gani haija valiwa pia utazipangiliaje
hizo rangi na kukufanya uwe watofauti kwanza lazime ujuwa ukiwa unatoka
utabeba nini na utavaaje iliuweze pangilia rangi zako vyema mfano;
utavaa koti t shiart na jins utabeba pochi ukishajuwa hivo utapangilia
rangi ya kila kimoja utavaaje katika vyote lazima kimoja kitamzidi
mwezie katika hizo rangi moja itamzidi mwezie mfano t shirt itakuwa
rangi nyeupe vitu vingine vyote vitakuwa rangi nyeusi so tuna miyonekano
mi 3 ya ku spend weekend hii ikiwa in style
1
EmoticonEmoticon