Dress code ni mpangilio wa mavazi ya sehemu maalum na yenye kuelezea sehemu ambayo upo au sehem ambayo unaelekea mfano; mavazi ya shule, ya michezo na ya usiku n.kWatu wengi sku hizi wanabadilisha sana mwonekano wa mavazi hasa hapa nyumbani mfano vazila kuvaa usiku mtu anavaa mchana haipendezi kwasababu ata mtu wa kawaida atasema yulemdada kavaa nini? kwanini vazi la usiku hauwezi kuvaa mchana? asilimia kubwa ya nguo za usiku zina vitu vya kumeremeta katika nguo sasa ukiivaa hiyo nguo mchana na kuna jua vile vitu vya kumeremeta ambavyo viko kwenye nguo vinakuwa vinaakisi mwanga hivyo mtu akikuangalia anakuwa anaona una meremeta sana na wengine kuumia macho
So hii ni mifano ya nguo ambazo unaweza vaa na usio weza vaa kwa wakati fulani
Hapa tuna ona mionekano ambayo siyo rasmi na ambayo ni rasmi
Hapo
miezi ya nyuma kuliibuka style ya kuchana nguo baada ya kuona baazi ya
mastar kuvaa style hiyo ila siyo mwonekano sahihi kwa mwana ume au
mwanamke pia
Ikiwa kwenye mwonekano unao jieleza
EmoticonEmoticon