3 LOOKS TO INSPIRE YOU TO WEAR MIDI SKIRT


Kuna Midi skirt zaaina mbili kuna ndefu na fupi ila leo nitaongelea fupi ambazo zinaweza valiwa na mwanamke waaina yoyote hasa wale wapendao kwenda na wakati kwa mwonekano wakisasa 

leo ningependa kukwonesha mfano wa mwonekao amba utakupendezesha wewe kama mwanamke unae penda kwenda na mwonekano wa kisasa hapa town  

LOOK .1 

Hii ni mfano wa style ambayo unapaswa kuanza kuvaa katika mwonekano wako wa miezi hii haijalishi unaenda wapi chamsiki midi skirt ni kwaajili ya wanawake wanao jijali na kujieshim pia 


LOOK .2

Ukiangalia huu mwonekano unaona wazi kabisa ni  aina gani ya wanawake wana pendezea kuvaa hii staili na kupendeza je utavaa ukienda  wapi ni wewe sasa kujuwa mwonekano huu ni wawapi hii inapendezea sana kuvaa kama mwonekano wa kazini kwenda seem maalum flani ambazo ninaweza kukufanya uwe na mshangao kwa watu ambao watakao kwepo hapo

LOOK .3

Sasa hapa tuanze kuongelea kuusu rangi rangi ni kitu cha muhimu katikakuvaa kwako your midi skirt tukiangalia rangi ya blue imependezea sana katika kumechisha your midi skirt pochi miwani na kiatu kinapaswa ziwe narangi tofauti ilikupata mwonekano mzuri zaidi na waku n'gaa zaidi kama mwana mke wakisasa


EmoticonEmoticon