4 FLAT SHOES AMBAZO UNAWEZA KUVAA KWENYE HUU MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN


Kikawaida tunajua kwamba kwenye mwezi huu siyo vizuri kuvaa kiatu virefu haswa pale unapo karibiswa ftari na jirani yako haipendezi kwenda na viatu virefu haipendezi  inapendeza kwenda ukiwa umevaa flat shoe lakini siyo kwamba ukivaa flat shoe ndo utaonekana uko kawaida au ujapendeza NO utapendeza kwa hizi ainaninazo kwonyesha hapa leo zikiwa na majina yake ambazo unaweza kuulizia dukani na ukapata.

Hii ni aina ya flat shoe inayo itwa Lace Up Flats ni flats nzuri ambazo ziko trend kwasasa na zinapendeza pia ukivaa kwenye mwezi huu wa ramazani haswa ukitaka kutoka.

Hii nayo niaina ya flat itwayo Action flat hizi zinapendezea ukienda nazo sokoni kununua ftari kutembelea seem ambazo unaweza kuingia na watu wasijali umevaa nini ila watastuka kwa mwonekano wako wa kisasa na wenye heshima.

Hiki kiatu ni kizuri sana ni aina ya flat iitwayo ballerinas flat hiki unaweza kuvaa pale umealikwa ftari seem na seem siyo kila seem haswa wale wanao andaa futari kwenye hotel fulani na wewe umekaribishwa hapo unaweza kuvaa aina hii ya flat shoe kwa mwonekano mzuri zaidi. 

Kinaitwa Potio Poise Flats hizi nimezipenda kuzionyesha kwasababu ya design yake kwanyuma ya kufunga mkanda mmoja na mbele ikiwa imechongeka kati ya flat zote nilizo onyesha ni kimoja tu ndo hakija chongeka ni kwasababu flat zaaina hiyo ndo ziko on fashion kwasasa ila hiki piya kinapendezea kuvaa ukiwa nyumbani ukiwa unajiandaa au unaandaa ftari.  


EmoticonEmoticon