Fashion Trend

SABABU 5 ZA KUVAA MITINDO YA NGUO NYEUPE

June ndo hii imesha fika na makali ya outfits yake, ni bora zaidi hapa nimitindo mi 5 sababu ya kuvaa nguo nyeupe juu mpaka chini msimu huu.kuweka scrolling kwaajili ya gorgeous kwa maduka kama ningependa kuwa update watanzania katika mavazi kamili. Haijalishi ila ni rangi ndo tunayo iongelea kuweka utofauti na miezi mingine kwa mwonekano wa nguo nyeupe kwazia juu mpaka chini na kukufanya uwewatofauti ukiweza fikiria zaidi utakuja kugunduwa huu ni mpandilio mzuri wa mavazi na rangipia kwa mwezi huu na kufurahiya!

1

2

3

4

5






















AFRICAN MEN'S HAIRSTYLE TREND 2016



    

1. Box Fade Cut



Una weza kwenda na hairstyle hii yaasili with and 80s. Bring back the 80s and 90s look with this fashion forward hairstyle for black men

2. Tapered Afro

Haircut hii ni nzuri kwa ajili ya watu ambao wanapenda nywele ndefu  without needing to put too much effort in styling.

   3. Geometric cut






      4. fade haircut
















FLAVIANA MATATA WITH LAVY NAIL POLISH
We happy kuona tanzania inazidi kuwa nzuri kwa wadada wetu kupendeza na bizaa zinazo tengenezwa kwaajili ya wadada wa tanzania na kuanza kusambaa duniani. Flaviana matata ni model mkubwa sana hapa tanzania na dunia pia inamjuwa kwa kazizake nzuri sasa amewaletea wadada,wanawake rangi za kucha ziitwazo LAVY NAIL POLISH ni rangi nzuri za kucha ambazo zina pendeza na zikiwa zakila aina ya rangi it's best polish kutoka tanzania.

 kama unavo ziona ziko katika ubora mzuri nazikiwa zimefanyiwa best shoot kwaajili ya matangazo.

alafu it's real polish na rangi ina ng'aa

the thing is the color that people love it

it's so cool ina pendeza 
jinsi gani unavo weza kuzipata
facebook Flaviana matata
Thank you


















RASTA MPYA KUTOKA KIDOTI LOVING
Ni mwonekano mpya wa kidoti na rasta zake mpya zikiwa kwenye mwonekano mzuri na zaku ng'aa ila nachoweza kusema hizi rasta zina pendeza sana ukisuka wakati wa event tofauti tofauti pia alipost kwenye Twitter yake akisema; Unanionaje rasta zetu mpya zikawa pia sehemu ya siku yako muhimu maishani? 👰🏾💍💕🌷 kiukweli zinapendezea sana kwenye harushi pia kama unavo ziona


it's so good 
zingine ni zaseemu nzuri ambazo unaweza sukia na ukapendeza kwa seemu ambayo utakwepo utakayo kwepo na watu ambao wanapenda kuwa na mwonekano kama huu



Like this it's so dope


And kunahizi ambazo kama mkisuka wale wadada ambao ni good friend wengine wanajiita 3sisters inawapendezea sana and mnaweza msisuke style moja ila kuna rangi mnaweza mka share



Thank you and hongera kidoti kazi nzuri










best bags spring 2016
Kuna mabegi au mapochi ambayo yako kwenye fashion saivi ebu tuyajuwe 
channel bag 2016

High fashion is embracing tech—your post-modern clutches are now equipped for your iPhone 6.

lanvin 


Burberry
Balenciaga
Whether you wear it at your elbow, or simply let your assistant tote it, the top handle is this season's ladylike winner.
Tods
Miu Miu
Maison Margiela
Gucci
Fendi
Dior
Celine

The bucket bag is evolving, with inspired takes on the simple shape, done up with added ruching, asymmetrical shapes or embellishment.
Pictured: Louis Vuitton

Stella McCartney












OFF SHOULDER OF FASHION
Off shoulder iko on fashion kwasasa ila kuna off shoulder zaaina tofauti tofauti na kwa kilaaina ya mwana mke mfano hii yapa 

it's sexy kwa waschana wenye mwonekano wa ki schana zaidi 



Hata huu piya ni mwonekano wa kijana zaidi
kwa mwonekano tofauti tofauti zaidi
huu ni kwawale wana wake sasa walio na umbri mkubwa kidogo ila wanao penda fashion
in swagg

street look













TRENDS OF SUNGLASSES 2016
Kuna sunglasses zaaina tofauti tofauti ilaleo tuna waletea sunglasses ambazo ziko trend kwakipindi hiki 
hizi kiko kwenye fashion ,kwasasa zinapendewa na wadada wengi hapa town.
hizi pia zinawapendeza sana wadada ila inategemea ni aina gani ya nguo wewe utakayo ivaa

Women's Miu Miu 49mm Round Retro Sunglasses
60s-Inspired Dior Sunnies for classic woman 

Women's Dior 'So Real' 48mm Sunglasses

So lovely for women 



EmoticonEmoticon